Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,(wapili kushoto) akiwapongeza mafundi Salum Udi Mwinyi, Mhandisi wa Shirika la Bandari (kulia) na Ali Omar, fundi wa kujitegemea, walialikuwa fundi wa kampuni ya Phihi, kwa hatua ya ujenzi wa sehemu ya kuwekea makontena,katika Bandari ya malindi Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,(wapili kushoto) akiwapongeza mafundi Salum Udi Mwinyi,
Mhandisi wa Shirika la Bandari (kulia) na Ali Omar,fundi wa kujitegemea,wali alikuwa fundi wa kampuni ya Phihi,kwa hatua ya ujenzi wa sehemu ya kuwekea makontena,katika Bandari ya malindi Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,(kushoto) akitoa maelekezo kwa mkurugenzi wa shirika la Bandari Zanzibar Mustafa Aboud Jumbe wakati alipotembelea bandari ya Malindi Unguja kuona hatua ya maendeleo ya ujenzi wa kuongezea sehemu ya kuwekea makontena,yanayokuja kutoka nje ya nchi,katika hatua za kuongezeka kwa uchumi wa nchi yetu.

Picha na Ramadhan Othman Ikulu.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: