Makamo Mwenkiti wa CCM,Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Amani Abeid Karume,(katikati),Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Ali Mohammed Shein,Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Shamsi Vuai Nahodha,(kushoto) Mwenyekiti Mstaafu CCM na Rais Mstafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi(kulia) Naibu Katibu Mkuu CCm Zanzibar Saleh Ramadhan Feruzi,kwa pamoja wakiimba wimbo wa chama kabla kufunguliwa kwa mkuyano wa siku moja wa kamati malum ya halmashauri Kuu ya Taifa CCM huko Afisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja.
Waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga Taifa pia mjumbe wa kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar,Dk Hussei Ali Mwinyi, Mbunge wa Jimbo la Mpendae pia Mjumbe wa Mkutano wa siku moja wa kamati maalum ya halmashauri ku ya Taifa Issa Baharia wakipitia mada za mkutano huo kabla ya kuanza jana huko Afisi kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.
Picha na Ramadhan Othman Ikulu.
Toa Maoni Yako:
0 comments: