MAOMBI!!Kaka Kajuna.
Pole sana na kazi yako nzito ya kutupa taarifa mbalimbali kwa kupitiablogu yako bab’ kubwa .Kwa niaba ya kampuni ya King Kipf Productionsya jijini Dar es Salaam, na Blogu ya http://www.kingkif.blogspot.com/ninakuomba ututangazie blog yetu kwenye blog yako ili tuweze kuwafikia wanaulimwengu wenzetu mbalimbali iliwaweze kupata taarifa ya mambo mbalimbali yanayoendelea kwenye sayarihii.Kufanikiwa kwa jambo hili itasaidia kwa namna moja ama nyinginewatu kupiga hatua kubwa.
Wako mtiifu Mkurugenzi
King Kif Productions
Sigfred Peter.
Toa Maoni Yako:
0 comments: