Mwanamuziki D'Banji akichengua vimwana kutoka kampuni ya Sigara TTC vilivyokuja kumpokea uwanja wa ndege wa J.K.Nyerere leo mchana.
D'Banji atafanya onyesho lake litakalofanyika kwenye viwanja vya Tanganyika Pakers jijini Dar es salaam akihirikiana na wanamuziki wengine mbalimbali wa Tanzania, Uganda na Kenya, onyesho hilo linatarajiwa kufanyika jumamosi wiki hii Novemba 28/2009.

Toa Maoni Yako:
0 comments: