Mchugaji Mama Getrude Rwakatale wa Assemblies Of God Mikocheni kushoto na Afisa mtumishi mwingine wa kanisa hilo wakimlaki Mchungaji Chancy Luhasa aliyekuja nchini akitokea Ubelgiji kwa ajili ya kuja kuhubiri neno la mungu katika kanisa hilo, Mchungaji Luhasa alilakiwa kwenye uwanja wa ndege wa mwalimu J.K.Nyerere leo jioni akiwa mwenye furaha, bila shaka ilikuwa ni bashasha ya kumshukuru mungu kwa kufika salama na kukutana na wenyeji wake.
Home
Unlabelled
MCHUNGAJI CAHNCY LUHASA ATUA NCHINI KUUNGURUMISHA INJLI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: