Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,kitoa hutuba yake kwa wazee na wananchi baada ya kufanya uzinduzi wa Mkakati wa Kitaifa Juu ya Hifadhi ya Wazee, katika ukumbi wa mikutano wa Ocean View Hotel Mnara wa Mbao,nje kidogo ya Mjini wa Zanziba jana.(kusoto) Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Shamsi Vuai Nahodha,na (kulia) Mke wa Rais Mama Shadya Karume,na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Sultan Mohammed Mugheiry.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,akifanya uzinduzi wa Mkakati wa Kitaifa Juu ya Hifadhi ya Wazee, katika ukumbi wa mikutano wa Ocean View Hotel Mnara wa Mbao,nje kidogo ya Mjini wa Zanziba jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,akisalimiana Wazee baada ya kufanya uzinduzi wa Mkakati wa Kitaifa Juu ya Hifadhi ya Wazee, katika ukumbi wa mikutano wa Ocean View Hotel Mnara wa Mbao,nje kidogo ya Mjini wa Zanziba jana.
Picha na Ramadhan Othman Ikulu.
Toa Maoni Yako:
0 comments: