Shindano lenye hadhi kubwa nchini, linalowakutanisha handsome boys wenye majina makubwa na kumpata aliye na mvuto zaidi wa kimahaba, Ijumaa Sexiest Bachelor, lipo njia moja kumpata mshindi. Hivi sasa, Ijumaa Sexiest Bachelor limefikia hatua ya Nne Bora ambapo guyz wanne wenye kutazamika, wamefanikiwa kupenya na kuingia fainali. Staa wa Project Fame ambaye kwa sasa anavuma kwenye soko la filamu, Hemed Suleiman, mkali wa kiwanda cha muvi Bongo, Yusuf Mlela, stadi wa Bongo Flava, Laurence Malima “Marlaw” na mkongwe, Steven Kanumba ndiyo wameingia Top Four. Katika majina hayo, Kanumba ndiye staa aliyedaka taji mwaka 2007, huku akiingia fainali na golikipa wa Simba, Juma Kaseja na mwanamuziki, Aboubakar Katwila “Q-Chillah”...
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: