Hello all!
Its my pleasure to inform all BongoFlava lovers, CPWAA's fans and local muisc supporters that i will have an exclusive pre-launching party on 8th Dec 2009 at Movenpick Hotel in Dar es salaam.

Shughuli nzima itaanza na wageni waalikwa (V.I.P) kuanzia saa 2 usiku mpaka 5 usiku na baadae kwa kiingilio cha 15,000 TSH kwa kichwa.
Siku huo kutakuwa na uzinduzi wa tovuti zangu 2, mavazi,documentary fupi, nyimbo mpya na video zake bila kusahau Album Preview na perfomance moja ya ukweliiiiii!

Na baada ya hapo, ngoma zote za ukweli zitapigwa na maDJ wakali kutoka jijini Dar, na shangwe hilo litaendelea mpaka kuchwele.

looking forward to see you there. Support local talent, support our music! na tutafika tu.

Ilunga Khalifa (CPwaa)
Brainstormusic & Media Co. Ltd
+255 785 000 0017
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: