Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, anayemaliza muda wake, Bw Koichoro Matsuura(katikati) katika ofisi ya Unesco Mjini Paris Ufaransa,na (kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Haroun ALi Suleiman,
Picha na Ramadhan Othman,Paris-Ufaransa
Picha na Ramadhan Othman,Paris-Ufaransa
Toa Maoni Yako:
0 comments: