Baadhi ya walibwende wa miss Ilala wakiwa katika mwendo wa maringo! kutoka kulia ni Zena Rashidy (22), Slyvia Shally (19) pamoja na Irene Karugaba (19).Baada ya kuwatembelea warembo ambao ni washiriki wa Miss Ilala 2009 kambini kwao katika hoteli ya Lamada, Ilala jijini Dar es Salaam, shukrani zimwendee mwenyekiti wa kamati ya miss Ilala, Bw. Jackson Kalikumtima.
Walimbwende hao tayari wameingia kambini juzi kwa ajili ya kujinoa vyema tayari kwa kushindana.


Toa Maoni Yako:
0 comments: