MELI YA MIZIGO YA 'MV PEMBA' AMBAYO IMESHIKA MOTO MUDA MCHACHE ULIOPITA KATIKA BANDARI YA JIJI DAR.
MELI HIYO ILIANZA KUSHIKA MOTO WAKATI MABAHARIA WAPATAO 20 WA MELI HIYO WAKIWA KATIKA KUIFANYIA MATENGENEZO YA KAWAIDA YA MELI HIYO KABLA YA KUANZA SAFARI ZAKE ZA ZANZIBAR NA PEMBA IKIWA NA SHEHENA YA VYAKULA, MAFUTA NA VITU VINGINE.
HAKUNA MTU ALIYEPATWA NA MADHARA KATIKA AJALI HIYO.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: