Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,DkAmani Abeid Karume,(katikati) Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Shamsi Vuai Nahodha,wakipata maelezo kutoka kwa Mtaalam Mzalendo Dk Khamis Abrahman kuhusu Mashin ya CT-Scan,inayochunguza matatizo mabli mbali ya Binadamu huko Hospitali kuu ya Mnazi Mmoja jana.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,wapili kushoto),pamoja na Viongozi wengine wakiangalia matokea ya vipimo na picha,baada ya kuchnguza mgojwa kwa kutumia mashine ya CT-Scan,ambayo huchunguza magonjwa mbali mbali katika mwili wa Binadamu hoko,katika hopitali Kuu ya Mnazi Mmoja,mara baada ya kuzindua mashine za CT-SCAN na X-RAY.

Picha na Ramadhan Othman Ikulu.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: