Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk Amani Abeid Karume,akizungumza na Makamo wa rais wa kampuni ya kimataifa inayohusika na huduma za mawasiliano kwa njia ya kompyuta (IBM),Dk Mark E. Dean alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk Amani Abeid Karume,akisalimiana na Makamo wa rais wa kampuni ya kimataifa inayohusika na huduma za mawasiliano kwa njia ya kompyuta (IBM),Dk Mark E. Dean alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.
Picha na Ramadhan Othman Ikulu.


Toa Maoni Yako:
0 comments: