Nikiwa na Arnold Kayanda a.k.a Inspector Nzabulimana wa Clouds Fm hii ilikuwa ni katika trip yetu ya Bagamoyo.
Mdau Jimmy Jamal akirekebisha mitambo yake.
Malkia wa Bambata wa Clouds Fm, Sophia Kessy akifurahia jambo huku Dj PQ, Dj Bula na Kadada.
Nikiwa na wadau wa Habari na Matukio, Kulia ni Dj Bula na Dj PQ.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: