RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,apata maelezo juu ya maendeleo ya ujenzi wa Nyumba ya Watoto Yatima inayojenagwa na jumuiya Inayoshuhulikia Elimu,Mazingira na Maendeleo ya Vijana (ZAYEDESA) huko Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar,kutoka kwa Mkurugenzi wa idara ya ujenzi,Wizara ya Maji Ujenzi na Ardhi,Mohammed Ahmed Mohammed,(kushoto) na Mwenyekiti wa ZAYEDESA na Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Shadya Karume.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,(katikati) akiuliza jambo wakati alipotembelea ujenzi wa nyumba ya watoto yatima inayojenagwa na jumuiya inayoshuhulikia elimu, mazingira na maendeleo ya vijana (ZAYEDESA) huko Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar, kulia ni Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo na Mke wa Rais Mama Shadya karume, na kushoto ni Mkurugenzi wa idara ya ujenzi, wizara ya Maji Ujenzi na Ardhi, Mohammed Ahmed Mohammed. PICHA NA RAMADHAN OTHMAN IKULU


Toa Maoni Yako:
0 comments: