RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume, akitoa hotuba ya kuufungua Mkutano wa Kimataifa wa michezo katika ukumbi wa Salama Bwawani jana.kulia ni Naibu Waziri Kiongozi na Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Zanzibar Ali Juma Shamuhuna,na kushoto, Rasi wa zamani wa Kamisheni ya Afrika Essy Amara.
BAADHI ya wajumbe wa mkutano wa Kimaifa wa Michezo kwa nchi za maziwa makuu,unaofanyika katika ukumbi wa Salama Bwawani,kushoto ni Naibu Waziri wa Habaru,utamaduni na Michezi Zanzibar,Mahmoud Thabit Kombo, Naibu Waziri wa Habaru,utamaduni na Michezi Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Joel Nkaya Bendera,Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Haroun Ali Suleiman na Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi Ali mzee Ali.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,akisalimiana na Rasi wa zamani wa Kamisheni ya Afrika Essy Amara,baada ya kuufungua Mkutano wa Kimataifa wa michezo huko ukumbi wa Salama Bwawani ,Mjini Zanzibar jana.Picha na Ramadhan Othman wa Ikulu, Zanzibar.


Toa Maoni Yako:
0 comments: