Kamanda James Kombe akielekezwa na mkurugenzi mtendaji wa taasisi ta ARTI-TZ Bw. Joy Desai jinsi ya kutumia majiko yanayotumia mkaa robo kilo kwa kupikia vyakula vya aina 3 kwa wakati mmoja kwa muda wa saa 1:30, mara alipotembelea maonyesho ya Saba saba katika banda la ARTI-TZ lililopo ndani ya ndani la maliasili na utalii.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: