Rais Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Karume na Rais Mststaafu Benjamin William Mkapa wakibadilishan mawazo baada ya kumalizika Hitma ya Mama yake Dk shein, iliyofanyika jana katika msikiti wa Kwaboko Mjini Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete, akiongozana na Makamo wa Rais Dk Ali Mohammed Shein wakielekea katika Nyumba ilipofanyika Hafla ya Hitma ya mamayake Dk Shein huko MuembeNjugu Mjini Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete(wapili kushoto),Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk Amani Abbeid Karume,Makamo wa Rais Dk Ali Mohammed Shein na Rais Mstaafu wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi,wakisoma Hitma ya Kumuombea dua mama wa DK Shein, huko ktk msikiti wa kwa Boko Mjini Unguja jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk Amani Abeid Karume, akikaribishwa na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Ali mohammed Shein alipohudhuria katika Hitma ya Mamayake Dk Shein Huko Kwa Boko Zanzibar.
Picha zote kwa hisani ya Ramadhani Othman wa Ikulu Zanzibar.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: