UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA MUDA WA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3 USIKU WA LEO Tarehe: 03/05/2008.
Maeneo ya Nyanda za juu Kaskazini-Mashariki pamoja na Pwani ya Kaskazini hususan mkoa wa Tanga na visiwa vya Pemba na Unguja yanatarjiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi na mvua nyepesi katika maeneo machache. Maeneo mengine ya nchi yaliyosalia yanatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi.
KESHO MCHANA:
Maeneo ya mikoa ya Mara, Kagera na Kigoma yanatarajia kuwa na hali ya mawingu kiasi na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua. Maeneo ya nyanda za juu Kaskazini-Mashariki pamoja na Pwani ya Kaskazini yanatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi na mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua. Maeneo mengine ya nchi yaliyosalia yanatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
NYEVUNYEVU KWENYE HEWA:
Kiwango cha juu cha unyevunyevu kwa Dar es Salaam kinatarajiwa kuwa asilimia 99 na kiwango cha chini kinatarajiwa kuwa asilimia 75. Kiwango cha juu cha joto kwa Dar es Salaam kinatarajiwa kuwa nyuzi joto 31°C na kiwango cha chini kinatarajiwa kuwa nyuzi joto 20°C.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
Mji Kiwango cha juu cha joto Kiwango cha chini cha joto Mawio (Saa) Machweo Saa)
ARUSHA 25°C 15°C 12:31 12:31
D'SALAAM 31°C 20°C 12:24 12:17
DODOMA 28°C 15°C 12:38 12:31
KIGOMA 32°C 20°C 01:01 12:58
MBEYA 23°C 12°C 12:51 12:38
MWANZA 30°C 19°C 12:45 12:47
TABORA 30°C 16°C 12:48 12:44
TANGA 29°C 23°C 12:23 12:18
ZANZIBAR 30°C 24°C 12:24 12:17
Pepo za Pwani: Zitavuma kutoka kusini-mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa katika Pwani ya Kusini na kutoka kusini kwa kasi ya km 20 kwa saa katika Pwani ya Kasikazini.
Hali ya bahari : Inatarajiwa kuwa na mawimbi madogo madogo.
Matazamio kwa siku ya Jumatatu: 05/05/2008. Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 03/05/2008:
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

Toa Maoni Yako:
0 comments: