Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua kongamano la nne kuhusu sekta ya nishati Tanzania, kwenye Hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam leo. Wengine pichani kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Wenye Viwanda Tanzania, Reginald Mengi, Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Mary Nagu na Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja.
Picha kwa hisani ya Ofisi ya Waziri Mkuu.


Toa Maoni Yako:
0 comments: