Mwanamuziki wa kimarekani 50 Cent akikamua katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam ambapo mashabiki walibaki midomo wazi baada ya kumuona mzee mzima alipotaka kuchojoa suruali ila watu waliambulia viatu, t-shirt pamoja na vingine vingi alivyokuwa akiwarushia.
Lloyd Bank nae hakuwa nyuma kuwapagawisha mashabiki lakini ilionekana kupendwa zaidi na mabinti.
Tony Yayo akikamua katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Habari hii ilirushwa na blog hii tar. 5/6/2008
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: