Mwimbaji wa kimataifa kutoka nchini Afrika Kusini, Yvonne Chaka Chaka akiwasalimia watu waliohudhiria katika uzinduzi wa albamu mpya ya kundi la New Kitim Kitim, kutoka Dodoma iitwayo 'vita hii yatoka wapi' iliyofanyika katika ukumbi wa Diamondi Jubilee Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa BenchMark Productions Rita Paulsen ambaye alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa albam mpya ya kundi la New Kitim Tim inayoitwa 'Vita hii yatoka wapi' akifanya uzinduzi ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee. Pembeni yake kulia ni Haris Kapiga mtangazaji wa Praise Power Radio 99.2Fm na Peter Mavunde ambaye pia ni Mc-kutoka Dodoma, pamoja na Mchungaji Dickson Chilongani. Walioko nyuma ni waimbaji wa Kwanya ya New Kitimu Timu.
Yvonne Chaka Chaka akiimba wimbo wake wa Yehla uliomo kwenye albamu yake ya Celebrate Life ambayo imekusanya nyimbo kumi ikiwemo; na sasa ipo mtaani unaweza kujipatia nakala yako.1.Sehopole Boikgantsho
2.Makholwa
3.Yehla
4.Sefapanong
5.Ngi ya Vuma Nkosi Yami
6.Nyathela(Madimoni)
7.Kanye Kanye
8.Kemorena Jesu
9.Kena Le Modisa
10."Nyathela" Modomoni


Toa Maoni Yako:
0 comments: