Augustino Makalle wengi wao wanamfahamu kwa jina la Tino mmoja ya Page Designers wa Dar es Salaam ambapo jana alifunga ndoa na mwanadada Geraldine Kapela ndani ya kanisa la St. Petter, jiji Dar es Salaam. Hapa walikuwa wanakwenda kupata picha mbili tatu kwa ajili ya ukumbusho huku wakisindikizwa kwa shangwe kabisa. Habari na Matukio inakutakieni maisha mapya na marefu ya ndoa huku mkimtanguliza mungu zaidi katika kila jambo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: