Jana usiku katika ukumbi wa Ubungo Plaza –Hotel Pearl Blue zilifanyika fainali za Bongo Star Search (BSS) ambapo mwanadada Misoji Edward aliibuka mshindi na kujishindia USD 15,000 na zawadi nyingine kedekede. Aliyemfuatia kwa karibu alikuwa ni Rogers Lucas.
Mwanadada Misoji Edward aliibuka mshindi katika shindano la BSS.

Naibu waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Joel Bendera (Kulia) akisoma risala katika shindano hilo, aliyesimama (kushoto) ni mratibu wa shindano hilo Rita Paulsen akisikiliza kwa makini.

Wanamuziki kutoka Jamaica Brick & Lace wakitoa burudani ya nguvu katika shindano la BSS.
Mtangazaji wa EATV Jimmy Kabwe akiwatambulisha wanamuziki kutoka Jamaica Brick & Lace katika shindano la BSS.
Majaji wa shindano la BSS, Master J na Salama Jabil pamoja na Rita Paulsen wakiteta jambo wakati shindano likiendelea.
Kabla ya shindano wanamuziki kutoka Jamaica Brick & Lace walikuwa wakifuatilia mpambano wa BSS.

Mashabiki wa Bongo Star Search (BSS) wakifuatilia kwa makini fainali za mashindano hayo yaliofanyika katika ukumbi wa Ubungo Plaza.
Washindi waliongia katika kumi bora wakiimba wimbo wa kujikinga na ukimwi.

dah! hapa walimpokonya ushindi rodgers lucas ndoo alistaili kushinda
ReplyDelete