Mwenyekiti mtendaji wa IPP, Reginald Mengi akiongea na Sarah Dumba na mhe. Betty Mkwasa ambao ni watangazaji wa zamani wa TBC.
Rais JK akimpongeza Muhidin Maalim Gurumo wa Msondo kwa kuwa mmoja wa wadau wakubwa wa redio na tv za Taifa toka mwaka 1964 alipoanza kuimbia Msondo Ngoma.
Mkurugenzi mkuu wa TBC, Tido Mhando akiwakaribisha aliyekuwa mkurugenzi wa TBS kabla haijaitwa TBC, mzee Samwillu Mwafisi (kati) na mzee Mshindo Mkeyenge kwenye sherehe hizo.Watangazaji nyota wa zamani wa TBC mhe. Betty Mkwasa, Sango Kipozi na Ahmed Kipozi wakiwasili kwenye sherehe.
Mkurugenzi mtendaji wa IPP, Regnard Mengi akizungumza na mkurugenzi mkuu wa TBC, Tido Mhando.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo mhe. Mwantumu Mhizza akipokewa na Eshe Muhidin.
Mtangazaji machachari Juma Nkhamia (pili kulia, mbele) na watangazaji wenzie mahiri wa TBC.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria sherehe hizo za uzinduzi wa TBS akiwemo mkurugenzi mtendaji wa IPP, Regnard Mengi pamoja na mabalozi wa nchi mbali mbali.Rais JK akihutubia katika sherehe hizo.
Rais JK akizindua nembo ya TBC ambapo kauli mbiu yao ni Ukweli na Uhakika. 
Nembo mpya yab TBC.
Mc wa shughuli alikuwa mkurugenzi wa utangazaji na matukio wa TBC, Suzzane Mongi.Mwanga Kirahi (kushoto) ambaye ni mmoja wa maprodyuza wa TBC akiwa na mtangazaji Swedi Mwinyi.
Rais JK na mama Salma pamoja na Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo mh. George Mkuchika wakiwa na wafanyakazi wa TBC.Chama la Sports likifurahia jambo kutoka kulia ni Enock Bwigane, Evance Mhando, Juma Nkhamia, Creford Ndimbo pamoja na Baluani Muuza.

Grew ya baadhi ya watangazaji wa TBC ambapo kutoka kulia wa pili ni Nazareth Ndekia mtangazaji wa TBC-FM, Eshe Muhidin mtangazaji wa TBC-Taifa, Evance Mhando, Creford Ndimbo, Baluani Muuza pamoja na huyo bibie ambaye jina lake halikupatikana.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: