
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) akijumuika na Viongozi na Waislamu mbali mbali katika swala ya Eid El Fitri baada ya kukamilika kwa ibada ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan iliyoswalishwa na Sheikh Khalid Ali Mfaume katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Zanzibar leo

Sehemu ya Waumini wa Kiisalamu mbali mbali wakiwa katika swala ya Eid El Fitri baada ya kukamilika kwa ibada ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan iliyoswalishwa na Sheikh Khalid Ali Mfaume katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Zanzibar leo

Sehemu ya kinamama Waislamu wakijumuika pamoja katika swala ya Eid El Fitri baada ya kukamilika kwa ibada ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan iliyoswalishwa na Sheikh Khalid Ali Mfaume katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Zanzibar leo

Waumini wakisikiliza Hotuba ya baada ya Swala ya Eid El Fitri iliyotolewa na Sheikh Khalid Ali Mfaume leo katika katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Zanzibar baada ya Idaba ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi na Waislamu mbali mbali waitikia dua iliyoombwa baada ya swala ya Eid El Fitri kwa kukamilisha ibada ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Zanzibar leo. Picha na IKULU.


Toa Maoni Yako:
0 comments: