
Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Jesca Kishoa amepata ajali leo Ijumaa Mei 11, 2018 karibu na jengo la Bunge mjini Dodoma.
Mbunge huyo kwa sasa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Bunge japo inasemekana hali yake si mbaya sana.
Mume wake David Kafulila amethibitisha.


Toa Maoni Yako:
0 comments: