Rais John Magufuli akimkabidhi zawadi Mfanyakazi Bora wa Bohari ya Dawa (MSD), 2016/2017, Juma Kiongozi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi yaliyofanyika kitaifa mkoani Kilimanjaro leo. Kulia ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na kushoto ni Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama.
Wafanyakazi wa MSD Kanda ya Kaskazini wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais John Magufuli na viongozi wengine wakati wa maadhimisho hayo.
Mfanyakazi Bora wa Bohari ya Dawa (MSD), 2016/2017, Juma Kiongozi (katikati), akitoka kupokea zawadi yake.
Wafanyakazi wa MSD Kanda ya Kaskazini wakiwa tayari kwa maandamano.
Maandamano kuelekea jukwaa kuu alipo mgeni rasmi Rais John Magufuli.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: