Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig. Jenerali Mbazi Msuya (hayupo pichani) wakati wa mkutano na wanahabari hao katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu tarehe 20 Oktoba, 2016.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Bw. Paschal Waniha (wa kwanza kushoto) akitoa hoja za masuala ya umuhimu wa taarifa za hali ya hewa katika kujiandaa kukabili maafa wakati wa Mkutano na waandishi wa habari Oktoba 20, 2016.
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Chakula Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Bi. Marystela Mtalo akiwasilisha mada juu ya umuhimu wa kuhifadhi chakula na kulima mazao yenye kustahimili ukame wakati wa mkutano wa waandishi wa habari katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu 20 Oktoba, 2016.


Toa Maoni Yako:
0 comments: