MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, (wapili kushoto0, akichukua futari wakati alipowaandalia futari wafanyakazi wake kwenye hoteli ya city garden jijini Dar es Salaam. PPF imekuwa na utaratibu kama huo wa kuwaandalia futari wadau wa Mfuko huo hali kadhalika wafanyakazi wake, kila mwaka ili kuonyesha mshikamano wa pamoja
![]() |
| Mmoja wa wafanyakazi akitoa shukrani kwa niaba ya wwenzake baada ya futari hiyo. |






Toa Maoni Yako:
0 comments: