WIKI ILIYOPITA:
EMMANUEL NCHIMBI - "Ndugu wanahabari, baada ya kuwachunguza kwa makini sana wagombea wote 41 wa chama chetu na baada ya kushauriana na familia yangu, nimeamua kwa hiari yangu kujitoa kwa vile hawa wote 41 ni watu wenye uwezo mkubwa wa kuwa marais. Hivyo yeyote atakaeteuliwa nitamuunga mkono".
JANA USIKU.
"Mimi, Sophia Simba na Adam Kimbisa hatukubaliani na waliopitishwa na hivyo tunajitenga na maamuzi ya Kamati Kuu".


Toa Maoni Yako:
0 comments: