Kama kuna mtu ana jamaa yake ana maradhi ya moyo au ana mtu anayemjua kuwa ana maradhi ya moyo wanatakiwa kufika katika hospitali ya Mnazi Mmoja, Zanzibar kuanzia tarehe 20/03/2015 kwa ajili ya vipimo. MADAKTARI BINGWA KUTOKA ISRAEL watakuwepo.
Watakaobainika kuwa wameathirika zaidi watapelekwa nchini ISRAEL bure kwa ajili ya matibabu. Kila kitu ni bure isipokuwa utatakiwa kutafuta passport tu (Hati ya kusafiria). Upatapo ujumbe huu, Mjulishe mwenzako.



Toa Maoni Yako:
0 comments: