Mwanamuziki na Bondia, Khalid Chokoraa (kushoto) akichapana na mpinzani wake said Memba, wakati wa pambano lao la Raundi nne, lililofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini dar,usiku huu wakati wa tamasha la Matumaini.Katika pambano hilo,Chokoraa ameshinda kwa Pointi.
 Mada Maugo (kushoto) akichapana na mpinzani wake Thomas Mashali, wakati wa pambano lao la Raundi sita, lililofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini dar,usiku huu wakati wa tamasha la Matumaini.Katika pambano hilo, Maugo ameshinda kwa Pointi.
 Maugo, akibebwa na mashabiki wake wakishangilia ushindi....
wasanii wa Maigizo,Cloud (kushoto) na JB, wakichana wakati wa Tamasha hilo. Jb alishinda kwa Pointi. 
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: