Ofisa Tawala ya Sungwi, Moza Mtete akizungumza na wanakijiji Cha Masanganya kutokana na hatua walizozichukua za Kumfukuza Mwenyekiti wa Kijiji hicho, Rajabu Iddy juzi kutokana na ubadhilifu wa kutumia vibaya madaraka yake.
Askari Polisi akiwatuliza wanakijiji Cha Masanganya kutokana na hatua walizozichukua za Kumfukuza Mwenyekiti wa Kijiji hicho, Rajabu Iddy juzi kutokana na ubadhilifu wa kutumia vibaya madaraka yake wakati wa Mkutano na Viongozi wa Wilaya ya Kisarawe.

Diwani wa Viti Maalum wa Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani, Valeriana Mkoka akizungumza na wana kijiji Cha Masanganya wakati wa Mkutano wao uliokuwa ukijadili kufukunzwa kwa Mwenyekiti wa Kijiji hicho, Rajabu Iddy juzi
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: