Askari wa Usalama Barabarani akiwaandikia faini madereva boda boda kwa kosa la Kutotii Sheria bila shuruti (Kukaidi Tamko) shilingi 30,000/- zoezi la kukamata pikipiki linaendelea kutokana na tamko la mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Meck Sadick kukataza kukataza zisiingie katikati ya jiji ili kutoa kero na fujo. Pembeni ni pikipiki zilizokuwa zimekamatwa.
Askari wa Usalama Barabarani akiwa amesimama barabara ya Samora jijini Dar es Salaam kukamata pikipiki (Boda Boda) zinazoingia ndani ya jiji, zoezi la kukamata pikipiki linaendelea kutokana na tamko la mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Meck Sadick kukataza zisiingie katikati ya jiji ili kutoa kero na fujo. Akizungumza askari aliyekuwa katika oparesheni hiyo (hakupenda jina lake litajwe) alisema kuwa mpaka sasa wameshakamata pikipiki zaidi ya 500 ambazo zimekuwa zikikaidi tamko hilo. Na wamekuwa wakiwaandikia faini kwa kosa la Kutii Sheria bila shuruti (Kukaidi Tamko) shilingi 30,000/-
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: