Jeneza lenye mwili wa Marehemu Maxlikiwekwa juu ya kaburi kabla mazishi.
![]() |
| Mjane wa Marehemu, Bi. Suzan Jacob Ayimba akiweka udongo kwenye kaburi la mpendwa mme wake. |
![]() |
Mtoto wa Marehemu Max, Jacob akisaidiwa baada ya kupoteza fahamu wakati akutupia udongo kwenye kaburi la baba yake.
|
![]() |
| Mjane wa Marehemu, Bi. Suzan Jacob Ayimba akiweka shada la maua kwenye kaburi la mume wake. |
![]() |
| Watoto wa Marehemu, wakiweka shada la maua kwenye kaburi la baba yao. |






No comments:
Post a Comment