Pamoja na Serikali kujitahidi kuwaamisha wakazi wa Jangwani jijini Dar es Salaam bado wengi wanakaidi na kuendelea kupata kero ya kujaliwa na maji katika nyumba zao kutokana mvua zinazoendelea. Pichani ni wakazi hao ambao wameamua kuweka kambi (kuhamishia makazi yao) katika kituo.

Wengine wameamua kufunga kamba na kuanika nguo zao.
Maisha yanaendelea, ndani ya kituo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: