Daladala likiwa nimepinduka, katika barabara ya Ally Hassan Mwinyi eneo la Victoria usiku wa kuamkia jumapili, daladala hiyo ilikuwa likitokea Kariakoo na kwenda Mwenge jijini Dar e Salaam. Ambapo hakuna mtu aliyekufa katika ajali hiyo licha ya wengine kupata majeraha madogo madogo na kupoteza vitu vyao.
Wasamalia wema wakijaribu kumbeba dereva wa gari hilo ili wampakie kwenye taxi ili wampeleke hospitali, daladala hiyo ilipata ajali eneo la kituo cha mafuta cha Victoria jijini Dar es Salaama usiku wa kuamkia jumamosi ambapo hakuna mtu aliyekufa zaidi ya kujeruhiwa watu watatu akiwemo dereva.
Derava wa gari lililokuwa limepata ajali akipelekwa hospitali.
Abiria wakimzonga kondakta wa gari hilo awarudishie nauli zao huku wengine wakijaribu kuwajulisha ndugu na jamaa zao kilichotokea.
Hali ilivyokuwa usiku huo.


Toa Maoni Yako:
0 comments: