Hivi ndiyo kamera yetu ya Habari na Matukio ilivyonasa tukio hili la aibu la kusukuma gari huku linavuta gari lingine jambo ambalo kwakweli lilisababisha baadhi ya watu kushuka kwenye magari na kuanza kuwafokea vijana walikuwa wakisukuma break down. Tukio hilo lilitokea mbele ya nyumba ya Ally Hassan Mwinyi, Mikocheni jijini Dar es Salaam.

Hali hiyo ilisababisha foleni kubwa ikiwemo kufunga barabara kwa muda.
Wakijaribu kuweka pembeni ili waliwashe huku likiwa limebeba mzigo wake, vitendo hivi vya aibu kwa watu wenye magari haya ya kuvuta magari.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: