Pages

Tuesday, 29 November 2011

MASHINDANO YA MAGARI YA RALLY SPRINT YALIVYOKUWA KAWE, DAR

Umati wa watu uliojitokeza katika mashindano ya magari yaliyofanyika wikendi iliyopita katika viwanja vya Kawe jijini Dar es Salaam,
...Mambo yalikuwa hivi kama unavyojionea mwenyewe...
...wadau wakifuatilia kwa makini mashindano...

...yani palikuwa ni patashika nguo kuchanika...
...Hapa gari lilikuwa limekolea kwenye vumbi mwanzo mwisho...
...mdau huyu nae aliamua kulileta gari lake la kulia bata hapa lilikuwa likijikongoja kwenye vumbi


...ilikuwa ni patashika, kifaa cha kazi kimekolea
...magari mengine ni kuyatesa tu...jamaa nadhani wakati analiingiza humu kwenye mashindano roho yake ilikuwa ikimuuma ila alikuwa hana jinsi...
...likiwa limenasa kwenye mchanga

...ilikuwa ni raha sana kwa watu waliojitokeza katika mashindano
 Jamaa alianzia hapa...
 ....alipokunja kona ya kwanza tu akazama kwenye mchanga
 ...Alijikongoja sana kujikwamua kwenye mchanga mpaka gari likaanza kupoteza mwelekeo
...Jamaa alihama kabisa na kujikuta anavuka kamba ya barabara... japo aliongoza

1 comment:

  1. Ima (The Designer)30 November 2011 at 22:17

    Bwa shemeji km ungeingiza Gaia vile! si ingekuwa powa tu! hahaha

    ReplyDelete