Ujumbe huo...
Hapa kila mmoja akiwahi yani ni balaa
Ujumbe mwingine huooooooo. Ila endapo tungekuwa tunafanya kazi kama madereva na makonda wa daladala tungekuwa mbali sana kiuchumi, hawa jamaa wanajua kusaka hela, kila dakika kwao ina thamani.
No comments:
Post a Comment