Pages

Monday, 28 November 2011

MDAU RAYMOND MAGANGA ANYAKUA NONDO YAKE YA DEGREE IN COMPUTER SCIENCE

 Raymond Maganga akiwa katika uso wa furaha baada ya kukamata nondo yake ya Bachelor Degree in Computer Science kutoka Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) katika mahafari ya 37 yaliyofanyika Karimjee jijini Dar es Salaam.
 Raymond Maganga (wa tatu kutoka kushoto) akiwa na marafiki zake katika uso wa furaha baada ya kukamata nondo zao za Bachelor Degree in Computer Science kutoka Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) katika mahafari ya 37 yaliyofanyika Karimjee jijini Dar es Salaam.
Raymond Maganga (wa kwanza kutoka kushoto) akiwa na marafiki zake katika uso wa furaha baada ya kukamata nondo zao za Bachelor Degree in Computer Science kutoka Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) katika mahafari ya 37 yaliyofanyika Karimjee jijini Dar es Salaam
 Raymond Maganga (wa pili kutoka kushoto waliosimama) akiwa na marafiki zake katika uso wa furaha baada ya kukamata nondo zao za Bachelor Degree in Computer Science kutoka Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) katika mahafari ya 37 yaliyofanyika Karimjee jijini Dar es Salaam
 Raymond Maganga akiwa na marafiki zake kulia ni mtayarishaji wa muziki katika studio ya Ngoma Rec ya jijini Dar Tuddy Thomas na Msanii wa muziki wa kizazi kipya Marlaw.

No comments:

Post a Comment