Raisi wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania jakaya mrisho akimpongeza Ofisa Uhusiano wa Tigo Jakson Mmbando alipotangaza mchango wa shilingi 10 kumi kutoka Tigo kwaajili ya mradi wa kuendeleza elimu mkuoani Ruvuma wakati wa harambee iliyoendeshwa na mh Rais mwishoni mwa wiki na kubeba ujumbe ‘Changia elimu kujenga Taifa lililoelimika’ zaidi ya milioni 920 zilichangwa kwa ajili ya kujenga madarasa na nyumba za walimu mkoani Ruvuma.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: