Mmoja ya watangazaji wanaokuja kwa kasi, Millard Ayo akiwa na waimbaji wa nyimbo za injili hapa nchini, kulia ni Jesca Honore na Tumaini-Sia Shao; Kijana huyu ametokea kutamba katika stesheni mbali mbali za redio akiwezo zile za dini na mpaka sasa yupo ITV&Radio One anarusha kipindi cha Milazo 101 kinachoruka kila Jumapili kuanzia saa 10:30 mpaka 12:00 jioni. Pia anatangaza ITV habari za michezo. Nilipomuuliza ni watu gani anaowakubali katika fani hiyo ya utangazaji na kumfanya kila kukicha aonyeshe bidii ili awe kama wao, alisema kuwa ni mtangazaji Kapten G.Habashi wa Clouds Fm, Godwin Gondwe wa ITV&Radio One, Hamis Mandi a.k.a B-12 pamoja na Jimmy Kabwe wa EATV pamoja na mtangazaji Hollywood Hamilton wa The Buzz Radio iliyoko North Carolina, USA. Jambo linalotufurahisha ni jinsi anayojituma na kuchapa kazi kwa bidii.

Toa Maoni Yako:
0 comments: