Muimbaji wa Injili Bahati Bukuku jumapili anatarajia kuzindua albamu yake ya tatu ambayo inajulikana kwa jina la NIMESAMEHEWA DHAMBI siku ya tarehe 27 Julai 2008, Katika uzinduzi huo kiingili kitakuwa shilingi 3,000/= kwa viti vya kawaida na viti maalumu shilingi 10,000/=
Bahati Bukuku anapenda kumshukuru Mungu kwa yale Mungu aliyomfanyia, na alisema waimbaji watakaomsindikiza ni Jeniffer Mgendi, Rose Muhando, Bony mwaitege, Ambele Chapanyota, Ambwene Mwasongwe, Mwansasu na Upendo Nkone. Mnakaribishwa

Toa Maoni Yako:
0 comments: