Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita (wa pili toka kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa kwanza Godfrey Ndekikwa aliyeshinda na ushairi wa Sikio Liso Dawa.
Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita (katikati), akimkabidhi hundi kwa mshindi wa kwanza, Godfrey Ndekikwa aliyeshinda na ushairi wa Sikio Liso Dawa.
Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita wa kwanza kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na washindi.
Moja ya vitabu vya mwasisi wa Tunzo ya Ebrahim Hussein.
Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita (wa pili toka kushoto), akimkabidhi hundi kwa mshindi wa pili, Bashiru Abdallah  (wa kwanza kulia) aliyetoka na ushairi wa Nilinde.
 Mshindi wa tatu wa Tunzo ya ushairi ya Ebrahim Hussein, BiMkubwa Salim Sulemani aliyeandika ushairi wa  Moyo Kichaa cha Mtu.
Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita, akimkabidhi hundi kwa mshindi wa tatu, BiMkubwa Salim Sulemani (kulia).
 Msanii Mrisho Mpoto akitoa nasaha zake wa mashairi yake wakati wa kilele cha tunzo za Ushairi ya Ebrahim Hussein iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
 Wageni waalikwa waliohudhuria tunzo hiyo.
 Mwenyekti wa Majaji akieleza machache jinsi walivyoweza kupata mshindi.
Msanii Vitalis Maembe akitoa burudani.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: