Mkurugenzi wa Kitengo cha M-Pesa, Ashutosh Tiwary akiitambulisha timu ya M-Pesa.
Mkuu wa Kitengo cha M-Commerce Candice Rato akitoa mada wakati wa hafla hiyo.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Vodacom wakisikiliza kwa makini.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Vodacom wakisikiliza kwa makini
Timu ya M-Pesa ikisimamia zoezi la uoneshaji wa nembo ya Miaka 10 ya M-Pesa.
Wakati wa ufunguzi wa nembo hiyo.
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc wakijipatia maakuli wakati wa hafla hiyo
Burudani kutoka kwa wanasarakasi ikiendelea.



Toa Maoni Yako:
0 comments: