Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), wakicheza na kufurahi pamoja wakati wa hafla hiyo ya kuhitimu mafunzo jijini Dar es Salaam leo.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Tanzania Beng'i Issa akisalimiana na mmoja wa Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), alipokagua bidhaa zao wakati wa mahafali, yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo. Wajasiriamali 510 walihitimu baada ya kuhudhuria mafunzo, yaliyoandaliwa na asasi ya Tanzania Gastby Trust (TGT). Kushoto ni Mwenyekiti TGT, Epeineto Toroka na Afisa Mtendaji Mkuu wa Asasi hiyo, Olive Luena.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Tanzania Beng'i Issa akizungumza jambo na mmoja wa Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), alipokagua bidhaa zao wakati wa mahafali, yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo. Wajasiriamali 510 walihitimu baada ya kuhudhuria mafunzo, yaliyoandaliwa na asasi ya Tanzania Gastby Trust (TGT). Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Asasi hiyo, Olive Luena.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Tanzania Beng'i Issa akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), Deborah Kiunsi alipokagua bidhaa zao wakati wa mahafali, yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo. Wajasiriamali 510 walihitimu baada ya kuhudhuria mafunzo, yaliyoandaliwa na asasi ya Tanzania Gastby Trust (TGT). Pamoja naye ni Mwenyekiti TGT, Epeineto Toroka na Naibu Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania, Hinke Nauta.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Tanzania Beng'i Issa akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), alipokagua bidhaa zao wakati wa mahafali, yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo. Wajasiriamali 510 walihitimu baada ya kuhudhuria mafunzo, yaliyoandaliwa na asasi ya Tanzania Gastby Trust (TGT). Kulia ni Meneja Mradi wa MKUBWA, Wanke Kinyau.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Tanzania Beng'i Issa akimpongeza mmoja wa Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), baada ya kumkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo hayo.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Tanzania Beng'i Issa akimkabidhi cheti mmoja wa Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), baada ya kuhitimu mafunzo hayo. Kulia ni Mwenyekiti wa TGT, Epeineto Toroka
Katibu Mtendaji wa Baraza la Tanzania Beng'i Issa akimkabidhi cheti mmoja wa Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), baada ya kuhitimu mafunzo hayo.

Katibu Mtendaji wa Baraza la Tanzania Beng'i Issa akimkabidhi cheti mmoja wa Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), baada ya kuhitimu mafunzo hayo. Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Asasi ya TGT, Olive Luena.

Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), wakishangilia baada ya kuhitimu mafunzo hayo.
Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), wakishangilia baada ya kuhitimu mafunzo hayo.
Wanawake wajasiriamali wakifurahi na Meneja Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), Wanke Kinyau (mwenye zawadi) baada ya kumkabidhi wakati wa mahafali yao kwenye maonesho ya bidhaa zao, yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana. Wajasiriamali 510 walihitimu baada ya kuhudhuria mafunzo, yaliyoandaliwa na asasi ya Tanzania Gastby Trust (TGT) .
Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), wakicheza na kufurahi baada ya kuhitimu mafunzo hayo.

Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), wakicheza na kufurahi pamoja na Meneja Mradi Wanke Kinyau walipomkabidhi zawadi wakati wa hafla hiyo ya kuhitimu mafunzo hayo.
Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), wakicheza na kufurahi pamoja na Meneja Mradi Wanke Kinyau walipomkabidhi zawadi wakati wa hafla hiyo ya kuhitimu mafunzo.
Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), wakicheza na kufurahi pamoja na Meneja Mradi Wanke Kinyau wakati wa kumpa zawadi katika hafla hiyo ya kuhitimu mafunzo.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Tanzania Beng'i Issa, Afisa Mtendaji Mkuu wa Asasi ya TGT, Olive Luena na Mmoja wa wageni Jane Kelly wakifuarahia pamoja na Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), baada ya kuwakabidhi vyeti vya kuhitimu mafunzo hayo.
Mwenyekiti TGT, Epeineto Toroka akimshukuru mgeni Rasmi baada ya kukamilisha zoezi la kukabidhi vyeti wahitimu wa mafunzo hayo. Kulia ni Naibu Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania, Hinke Nauta.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Tanzania Beng'i Issa akiwa katika picha ya pamoja na Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA).
Mmoja wa wageni Jane Kelly (wa tano kushoto) akiwa katika picha pamoja na Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA).
Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Asasi ya TGT, Olive Luena akiohojiwa na waandishi wa habari.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Tanzania Beng'i Issa akiwa katika picha ya pamoja na Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA). (Imeandaliwa na Robert Okanda blogspots).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

1 comments:

  1. Safii sana na pongezi nyingi kwa shirika la Tanzania Gatsby Trust,

    ReplyDelete