Rais wa VoWET na Mkurugenzi Mtendaji wa IBRA Construction Limited Bi. Maida Waziri akiongea na wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu TIA wakati wa uzunduzi rasmi wa umoja wa wanafunzi wa Biashara (BAA), ambapo aliwahimiza elimu wanayoipata wasiitumie kwenda kuombea kazi tuu lakini pia waitumie kwa ajili ya kufanya ujasiliamali kwa kujiajili wao wenyewe.
Rais wa VoWET na Mkurugenzi Mtendaji wa IBRA Construction Limited Bi. Maida Waziri akikata keki ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa umoja huo.
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya uzinduzi wa BAA Gwamaka Andrew (Kushoto) akimmkabidhi Cheti cha Shukrani Mgeni rasmi Bi. Maida Waziri (Kulia)
Afisa Taaluma wa Chuo cha uhasibu TIA na Kaimu Mkurugenzi wa Chuo hicho Bw. Mugisha Kamala akitoa neno la utangulizi na shukrani kwa watu wote waliohudhuria katika uzinduzi huo.
Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu (TIA) wakiwa katika uzinduzi wa BAA
Mgeni Rasmi akipata picha ya pamoja na Baadhi ya Viongozi wa BBA waliomaliza muda na wale wa sasa. Picha zote na Fredy Njeje.
Toa Maoni Yako:
0 comments: