Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Kaimu Kamishna Jenerali wa UHAMIAJI Victoria Lembeli mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya CCP Moshi.Viongozi hao walikuwa wakihudhuria Sherehe za Kufunga mafunzo ya awali kwa askari wa Jeshi la Polisi na UHAMIAJI
Add caption |
Mkuu wa Mkoa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Mecky Sadick akifurahia wakati Kaimu Kamishna Jenerali wa UHAMIAJI Victoria Lembeli alipokuwa akisalimiana na Naibu IGP katika Viwanja vya CCP Moshi.Picha na Leslie James Mbota UHAMIAJI Makao Makuu.
Toa Maoni Yako:
0 comments: